Posts

Showing posts from July, 2018

MAZINGIRA YA SHULE

Image

SCHOOL CONTACTS

SCHOOL EMAIL : mikindanisecondaryschool2018@gmail.com SCHOOL BLOG: http://www.mikindanisecondaryschool.blogspot.com PHONE NUMBER: +255786879095/+255714117090

TERMINAL RESULTS 2018 SUMMARY

MIKINDANI SECONDARY SCHOOL TERMINAL EXAMINATIONS RESULTS ANALYSIS JUNE 2018 FORM I REGISTERED DIVISION I DIVISION II DIVISION III DIVISION IV DIVISION 0 ABSENT M F M F M F M F M F M F M F 65 59 7 4 9 1 13 3 19 36 14 16 2 0 FORM II M F M F M F M F M F M F M F 57 71 3 0 2 0 6 5 34 37 12 27 0 2 FORM III M F M F M F M F M F M F M ...

TAARIFA YA SHULE

HALMASHAURI YA MANISPAA MTWARA –MIKINDANI SHULE YA SEKONDARI MIKINDANI TAARIFA YA SHULE A.UTANGULIZI Shule ya Sekondari Mikindani ni shule iliyo chini ya wananchi.Shule hii ni y akutwa na ni ya mchanganyiko wa wavulana na wasichana.Shule ilipata kibali cha kufunguliwa tarehe 18/05/2005 na ufunguzi rasmi ulifanyika rasmi tarehe 09/07/2005 kwa kupokea wanafunzi wapya wa shule wavulana 51 na wasichana 50 na kufanya jumla kuwa wanafunzi 101. Shule ilipata usajili wake wenye namba S.1734 tarehe 17/05/2005 na kupata kuwa kituo cha mitihani namba S.3478 tarehe 10/07/2007. Hadi sasa shule hii imepitiwa na wakuu wa shule watatu kama ifuatavyo; Salehe Rashidi Hitu 2005 hadi 2010 Gervas Paul Milanzi 2010 hadi Januari 2018 Athman Seif Jazari Januari 2018 hadi Mei 2018 B. WATUMISHI Shule ina walimu wa ajira ya kudumu 17 wa kiume 10 na wa kike 07.Walimu wa sanaa 14 wa kiume 07 na wa kike 07.Walimu wa sayansi 03 wote wa kiume.Pia shule ina mwalimu mmoja wa kujitolea wa ...