TAARIFA YA SHULE


HALMASHAURI YA MANISPAA MTWARA –MIKINDANI
SHULE YA SEKONDARI MIKINDANI
TAARIFA YA SHULE
A.UTANGULIZI
Shule ya Sekondari Mikindani ni shule iliyo chini ya wananchi.Shule hii ni y akutwa na ni ya mchanganyiko wa wavulana na wasichana.Shule ilipata kibali cha kufunguliwa tarehe 18/05/2005 na ufunguzi rasmi ulifanyika rasmi tarehe 09/07/2005 kwa kupokea wanafunzi wapya wa shule wavulana 51 na wasichana 50 na kufanya jumla kuwa wanafunzi 101.
Shule ilipata usajili wake wenye namba S.1734 tarehe 17/05/2005 na kupata kuwa kituo cha mitihani namba S.3478 tarehe 10/07/2007.

Hadi sasa shule hii imepitiwa na wakuu wa shule watatu kama ifuatavyo;
Salehe Rashidi Hitu 2005 hadi 2010
Gervas Paul Milanzi 2010 hadi Januari 2018
Athman Seif Jazari Januari 2018 hadi Mei 2018

B. WATUMISHI

Shule ina walimu wa ajira ya kudumu 17 wa kiume 10 na wa kike 07.Walimu wa sanaa 14 wa kiume 07 na wa kike 07.Walimu wa sayansi 03 wote wa kiume.Pia shule ina mwalimu mmoja wa kujitolea wa somo la Baiolojia ambaye amekuwa akifundisha toka mwezi januari 2018.

MASOMO
WANAUME
WANAWAKE
JUMLA
SANAA
07
07
14
SAYANSI
03
00
03
JUMLA
10
07
17

C. WANAFUNZI
Shule ina jumla ya wanafunzi 385 kama inavyoonesha katika jedwali;
KIDATO
WAVULANA
WASICHANA
JUMLA
KIDATO CHA I
61
63
124
KIDATO CHA II
59
69
128
KIDATO CHA III
48
59
107
KIDATO CHA IV
14
12
26
JUMLA
182
203
385

D. TAALUMA
I). MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA KWA KIDATO CHA PILI TOKEA MWAKA 2006-2017
UFAULU WA SHULE; KIDATO CHA II 2006-2017
MWAKA
WALIOSAJILIWA
KUFAULU
KUFELI
ABS
2006
77
60
12
05
2007
145
118
21
06
2008
119
67
37
25
2009
33
04
19
10
2010
107
20
76
11
2011
56
04
44
08
2012
47
15
18
14
2013
63
29
24
10
2014
95
64
23
08
2015
35
24
11
00
2016
23
21
3
00
2017
133
106
27
00
JUMLA
933
532
315
97
ASILIMIA
100%
57%
34%
09%


II). MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA KWA KIDATO CHA NNE TANGU MWAKA 2008-2017
UFAULU WA SHULE; KIDATO CHA IV 2008-2017

     DIVISION
MWAKA
WALIOSAJILIWA
I
II
III
IV
0
ABS & WITHHELD
20017
22
0
0
3
12
7
-
2016
56
0
0
6
16
33
1
2015
41
0
04
2
17
16
2
2014
19
0
0
0
7
11
1
2013
38
0
0
0
08
30
-
2012
78
0
0
0
50
28
-
2011
101
0
0
3
20
64
14
2010
114
1
1
5
18
89
-
2009
112
0
2
6
43
55
06
2008
74
0
1
3
14
37
19
JUMLA
665
01
08
28
215
370
43
Ufaulu =38.00%          Kufeli =56.00%        Utoro na kufungiwa matokeo  =6.00%

III).IDADI YA WANAFUNZI WALIOENDELEA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UALIMU TANGU 2008 -2017
MWAKA
WALIOFANYA MTIHANI
WALIONDELEA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UALIMU
2008
ME
46
ME
01
KE
28
KE
00
JUMLA
74
JUMLA
01
2009
ME
59
ME
05
KE
53
KE
00
JUMLA
112
JUMLA
05
2010
ME
65
ME
05
KE
49
KE
00
JUMLA
114
JUMLA
05
2011
ME
83
ME
02
KE
18
KE
00
JUMLA
101
JUMLA
02
2012
ME
46
ME
00
KE
32
KE
00
JUMLA
78
JUMLA
00
2013
ME
27
ME
00
KE
11
KE
00
JUMLA
38
JUMLA
00
2014
ME
11
ME
00
KE
08
KE
00
JUMLA
19
JUMLA
00
2015
ME
21
ME
03
KE
20
KE
03
JUMLA
41
JUMLA
06
2016
ME
27
ME
01
KE
29
KE
01
JUMLA
56
JUMLA
02
2017
ME
13
ME
02
KE
09
KE
00
JUMLA
22
JUMLA
02


E.SAMANI ZA SHULE

Viti vya wanafunzi
Meza za wanafunzi
Meza za ofisi
Viti vya Ofisi
Kebineti
Stool
Meza maabara
Kabati
375
380
05
10
01
42
27
01


Comments

Popular posts from this blog

TERMINAL RESULTS 2018 SUMMARY